Mwanamuziki wa kizazi kipya Ainea Emmanuel au AINEA kama ajulikanavyo na wengi, yuko safarini katika ziara zake za kimuziki ambapo anatembelea mikoa ya Mwanza na Dodoma.
Ainea ambaye kwa sasa anatamba na kibao cha SOME BODY akishirikiana na Shetta anatarajia kurudi jijini Dar baadaya wiki mbili au tatu baada ya kumaliza ziara zake hizo.
Muimbaji wa Nyimbo za Injili Isaya Msangi (mweye kofia) akifuatilia muimbaji mwenzake akiimba ndani ya studio za ECK PRODUCTION.
Isaya Msangi ametamba sana na kibao kiulikanacho kama SHETANI IMEKULA KWAKO